Zamani nilipokuwa
motto,nilifikiria kama mtoto,nilisemasema kama mtoto niliyoyatenda ni ya
utoto,sirudi nyuma nimekuwa mzima maisha mapya ndani ya yesu x2
CHORUS
Chanuka ndani yake yesu,Vuka
utoto wa kiroho Imarika kwa msingi wa neno,chakula bora cha kiroho,piga hatua
songa mbele,mpaka lini u motto,komaa,usherehekee maisha mapya ndani ya
yesu x2
Zamani nilipokuwa motto,nilikula
chakula cha mtoto,nilibembelezwa kama mtoto,nililialia kama mtoto,sirudi nyuma
nimekuwa mzima,maisha mapya ndani ya Yesu (Christo) x2
Kusoma
neno kwako balaa (dalili ya utoto wa kiroho)
Zaka
nasadaka kabisa hutoi(dalili ya utoto wa kiroho)
Wakati
wa shida ndio waomba(dalili ya utoto wa kiroho)
Upendo
wa mdomo bila matendo(dalili ya utoto wa kiroho)
Ukabila
na siasa hata kanisani jamani(dalili ya utoto wa kiroho)
Kigeugeu
kama kinyonga(dalili ya utoto wa kiroho)
(CHORUS)
X3
Chanuka ndani yake yesu,Vuka
utoto wa kiroho Imarika kwa msingi wa neno,chakula bora cha kiroho,piga hatua
songa mbele,mpaka lini u motto,komaa,usherehekee maisha mapya ndani ya
yesu x2
No comments:
Post a Comment