Alitembea kwa ujasiri ili afikie uponyaji,alikaza mwendo na
kufika pale alipokuwa mkombozi Yesu,aligusa pinde la nguo yake ndipo akapata
kupona. X2
CHORUS
Imani yake kwake Mwokozi haikuwa
ya kusitasita alikazana kufika pale mwisho akakuwa huru uu,nawe mwenzangu una nafasi,
harakisha ungali na muda, ukiwa nayo imani kwake mwisho utakuwa huru x2
Nawe tembea kwa ujasiri uje kwake Bwana mponyaji, shida zako
zote anazitambua leta zote kwake mkombozi yesu,ataondoa zote na kuweka huru
mwisho utapata kupona.
CHORUS
Imani yake kwake Mwokozi haikuwa
ya kusitasita alikazana kufika pale mwisho akakuwa huru uu,nawe mwenzangu una nafasi,
harakisha ungali na muda, ukiwa nayo imani kwake mwisho utakuwa huru x2
email......eastgospel@gmail.com
No comments:
Post a Comment